RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kudumisha amani ni jukumu la kila mwananchi anayependa maendeleo ya nchi. The post Rais Mwinyi: Tuilinde Amani Yetu first appeared on HabariLeo .