DAR ES SALAAM: Katika kuboresha huduma za afya kwa wananchi Kampuni ya Bima ya Afya ya Jubilee Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi ya Afya ya Medikea wameanzisha programu maalumu inayowezesha Watanzania kupata huduma za afya kwa njia ya simu popote walipo. Programu hiyo iliyozinduliwa Dar es Salaam Oktoba 16, 2025, inalenga kuimarisha afya za Watanzania … The post Watanzania kupatiwa huduma za afya kwa simu first appeared on HabariLeo .