Vodacom Tanzania PLC kwa ushirikiano na Bolt, Kampuni inayotoa huduma za usafiri kwa njia ya mtandao, wamezindua huduma mpya inayowapa wateja thamani zaidi katika kila safari wanayofanya. Kupitia Tuzo Points, wateja wa Vodacom sasa wanaweza kutumia pointi walizopata kupata punguzo la bei kwenye safari za Bolt wakileta pamoja nguvu ya teknolojia, urahisi wa usafiri, na maisha ya kila siku yenye thamani zaidi. “Dhamira yetu Vodacom daima imekuwa kuwaunganisha Watanzania kwa ajili ya mustakabali bora,” alisema Joseph Njuu, Meneja Usimamizi wa thamani ya wateja kutoka Vodacom Tanzania. “Ushirikiano huu na Bolt ni uthibitisho wa dhamira hiyo tunaleta suluhisho rahisi, linalowawezesha wateja […] The post Vodacom na Bolt kwa Pamoja Kutoa Punguzo kwa Kila Safari Kupitia Tuzo Points appeared first on SwahiliTimes .