Hakuna ubishi kwamba aliyekuwa waziri mkuu na kiongozi wa upinzani Kenya, Raila Odinga (80) amelala na heshima yake.