Majaji wabainisha mlango aliopaswa kupita Mpina

Ni kama vile Mahakama Kuu iliyosikiliza shauri la kikatiba lililofunguliwa na Luhaga Mpina na Bodi ya Wadhamini ya ACT-Wazalendo, imewaonyesha wadai hao mlango wanaoweza kupita kuendelea kudai haki yao.