Uwanja wa Ndege Shinyanga kupanda hadhi, ndege kubwa kutua
Uwanja wa Ndege wa Shinyanga kinatarajiwa kupanda hadhi kutoka daraja la kwanza hadi la tano, kufuatia maboresho yanayowezesha ndege kubwa aina ya Bombardier Q400 yenye uwezo wa kubeba abiria 74 kutua kwa usalama.