Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kujenga Hospitali kubwa ya mama na mtoto mkoani Dodoma ikiwa kitashinda uchaguzi mkuu ujao.