Akamatwa Tabora kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano, Chacha aonya

Kijana mwenye umri wa takriban miaka 30, ambaye jina lake limehifadhiwa kwa sababu za kisheria, amekamatwa na vyombo vya dola mkoani Tabora kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano badala ya wananchi kupiga kura.