Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameendelea kuwasisitiza wananchi kutunza amani kuelekea kipindi hiki cha uchaguzi mkuu. Akizungumza wakati wa ziara yake ya kutembelea mradi wa umeme Makao, jijini Dar es Salaam, Mkuu huyo wa Mkoa aliipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa utendaji kazi mzuri na juhudi zao katika kuboresha huduma za nishati …