Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, mradi huo unatekelezwa na Mkandarasi M/s China Henan International Cooperation Group Co. Ltd (CHICO) huku Mhandisi Mshauri akiwa ni TECU kwa gharama ya shilingi Bilioni 138.727 bila kodi ya ongezeko la thamani (VAT) …