Na Janeth Jovin Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imeutaarifu umma kuwa, imefanikiwa kuendelea kushikilia hadhi ya Kiwango cha Tatu cha Ukomavu (WHO Maturity Level 3) wa Mfumo wa Udhibiti wa Dawa na Chanjo kufuatia tathmini ya kina iliyofanywa na Shirika la Afya Duniani (WHO) mwaka 2023. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi …