Tanroads yaendelea na utekelezaji wa miradi ya Bilioni 383 Mbeya

Serikali inaendelea na Ujenzi wa Barabara ya Njia Nne (Dual Carriageway) 29km Kuanzia Uyole (Nsalaga) hadi Ifisi yenye urefu wa kilomita 29, mradi huo unatekelezwa na Mkandarasi M/s China Henan International Cooperation Group Co. Ltd (CHICO) huku Mhandisi Mshauri akiwa ni TECU kwa gharama ya shilingi Bilioni 138.727 bila kodi ya ongezeko la thamani (VAT) …