Ulikuwa usiku wa kawaida kwa vijana wanne marafiki walioishi nyumba moja, wakiwa katika chumba cha mmoja wao wakipiga soga.