Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, George Masaju Oktoba 17, 2025 amemuapisha Hillary Massala Kuzenza kuwa Hakimu Mkazi kwenye ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma. Masaju amemtaka Hakimu huyo kurejea hotuba yake aliyoitoa tarehe 07 Oktoba, 2025 alipowaapisha Mahakimu wenzake wapya. Uapisho huo umehudhuriwa na Viongozi kadhaa wa Mahakama […]