Jeshi la Polisi Tanzania limetoa kauli kufuatia taarifa zilizotolewa na mwanasiasa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema, kupitia mitandao ya kijamii akidai kuwa usalama wake upo hatarini. Kupitia taarifa yake kwa umma iliyotolewa Oktoba 17, 2025, kutoka Makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dodoma, Msemaji wa […]