Padre Aliyepotea Apatikana Akiwa Hai Mkoani Ruvuma – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma limethibitisha kumpata Padre Camillus Nikata, wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania (SAUT) – Mwanza, baada ya kuripotiwa kupotea tangu Oktoba 9, 2025. Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi […]