Juzi mmeshuhudia kinababa na kinamama wa Ukraine wanacheza kwa furaha baada ya makubaliano ya kusitishwa kwa vita inayowasulubu. Furaha ile ni kama ya machale, bado hawajawa na uhakika kwa asilimia zote kwamba vita itaisha.