SERIKALI kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imeongeza kima cha chini cha mishahara kwa sekta binafsi kwa asilimia 33.4, itakayoanza kutolewa rasmi Januari Mosi, 2026. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema kima cha chini cha mshahara kimeongezeka kutoka Sh 275,060 … The post Mishahara juu sekta binafsi first appeared on HabariLeo .