Trump alaumiwa kwa kufurahia kifo cha bosi wa zamani wa FBI

Rais wa Marekani, Donald Trump, amekumbana na wimbi la lawama baada ya kutoa kauli iliyotafsiriwa kuwa ya kikatili kutokana na kifo cha Robert Mueller, aliyekuwa mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI).