Utalii wa kupanda Mlima Kilimanjaro kwa muda mfupi wavutia watalii

Utalii wa kupanda Mlima Kilimanjaro kwa muda mfupi maarufu kwa jina la Ultra marathon, unatajwa kuzidi kukua na kuvutia idadi kubwa ya watalii kutoka nje na ndani ya nchi.