JOHANNESBURG: Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, ametembelea ofisi za Red Cross jijini Johannesburg, ambako alikutana na viongozi wakuu wa Southern African Red Cross Society akiwemo rais na katibu mkuu, na kujadili namna bora ya kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Afrika Kusini, hususan katika kuendeleza shughuli za kujitolea (voluntia) na kuimarisha mahusiano ya kimataifa. … The post Tanzania, Afrika Kusini kushirikiana usimamizi wa majanga first appeared on HabariLeo .