Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi ametaja mambo makuu matatu yanayokwamisha uchumi wa Zanzibar kukua kwa kasi na jinsi wanavyoyatafutia ufumbuzi yote kwa mpigo.