Wananchi wa Kigamboni wameeleza adha wanayopitia kutokana na kukatika kwa daraja linalounganisha eneo la Bamba na Dege, Kigamboni jijini Dar es Salaam kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.