Na Theophilida Felician, Geita. Waganga wa tiba asili na tiba mbadala wanatarajia kukutana na Mkemia Mkuu wa Serikali ili kupewa elimu thabiti juu ya namna ya kuendelea kutoa huduma ya tiba sahihi kwa jamii. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Waganga wa Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini (TAMESOT), Bw. Lukas Joseph […] The post MKEMIA MKUU WA SERIKALI KUKUTANA NA WAGANGA WA TIBA ASILI GEITA appeared first on Jambo TV Online .