HabariLeo
DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameikabidhi bendera timu ya mpira wa kikapu ya Dar City na kuitaka kwenda kufanya vizuri katika michuano ya Afrika BAL Kalahari Conference 2026, akisema mafanikio yao yamefungua ukurasa mpya kwa mchezo huo nchini. Akizungumza leo wakati akiiaga timu hiyo inayokwenda Pretoria, Afrika Kusini, … The post Makonda ataka historia Dar City first appeared on HabariLeo .
Go to News Site