Mwananchi
Mbinu ya kujifanya bubu ili kuomba misaada kutoka kwa taasisi na wananchi imemponza kijana mmoja baada ya kukamatwa na Jeshi la Polisi mkoani Mtwara akiwa na Sh1.8 milioni alizodaiwa kukusanya kwa njia ya udanganyifu.
Go to News Site