Watoto wenye ulemavu wa kusikia kunufaika na teknolojia
Mwananchi

Watoto wenye ulemavu wa kusikia kunufaika na teknolojia

Serikali kwa kushirikiana na wadau wa elimu imeendelea kuchukua hatua za makusudi kuhakikisha hakuna mtoto anayeachwa nyuma kielimu, baada ya kuanzisha programu maalum ya kujifunzia kwa watoto wenye mahitaji maalumu, hususani wasio na uwezo wa kusikia.

Go to News Site