Mwananchi
Onyo kali limetolewa kwa baadhi ya viongozi wa vijiji wilayani Simanjiro mkoani Manyara wanaodaiwa kujihusisha na uuzaji holela wa ardhi, huku Mkuu wa Wilaya hiyo akisisitiza kuwa tabia hiyo imekuwa chanzo kikubwa cha migogoro ya ardhi inayoongezeka katika jamii.
Go to News Site