‘Maadili ni msingi uongozi bora’
HabariLeo

‘Maadili ni msingi uongozi bora’

MOROGORO: OFISI ya Rais ,Sekretarieti ya Maasili ya viongozi wa Umma imewataka viongozi kuzingatia misingi ya maadili kwenye utumishi wao kwani huimarisha imani ya wananchi kwa Serikali na taasisi zake kitendo kinachoongeza ushirikiano, utiifu wa sheria na mshikamano wa jamii. Kamishna wa Maadili katika Ofisi hiyo, Jaji Mstaafu, Sivangilwa Mwangesi amesema  hayo kupitia hotuba ya … The post ‘Maadili ni msingi uongozi bora’ first appeared on HabariLeo .

Go to News Site