HabariLeo
ARUSHA: Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Yusuph Singo, ameipongeza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa maandalizi na mafanikio mazuri ya tukio la mbio za Arusha Night Jogging lililofanyika jijini Arusha. Arusha night Jogging ilibeba kauli mbiu ya “Utamaduni wetu fahari … The post Mbio zafanikisha maandalizi AFCON 2027 first appeared on HabariLeo .
Go to News Site