Mfamasia Mkuu wa Serikali, Daudi Msasi anasema mwongozo wa matibabu unapanga aina ya dawa kulingana na ngazi ya kituo cha huduma na huo ndio mfumo wa utoaji dawa nchini.