Jambo TV
WMA – DODOMA Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo (WMA), Alban Kihulla amewataka watendaji wa Wakala hiyo kuanza ukaguzi wa mazao ya shamba na kupambana zaidi na ufungashaji wa mazao hayo kwa mtindo wa lumbesa. Akifungua Mkutano wa 37 wa Baraza la Wafanyakazi wa WMA, Machi 27, 2026 jijini Dodoma, Kihulla […] The post WAKALA WA VIPIMO WADHAMIRIA KUTOKOMEZA LUMBESA appeared first on Jambo TV Online .
Go to News Site