Jambo TV
Naitwa Martha, mkazi wa mkoa wa Dodoma. Mimi ni mjasiriamali na nimejikita katika ufugaji wa kuku wa nyama na mayai kwa miaka mitano sasa. Ufugaji huu ndio umeniwezesha kujitegemea na kusaidia ndugu zangu kijijini. Nilikuwa na banda kubwa lenye kuku 500 ambao walikuwa wamefikia muda wa kuuzwa. Nilikuwa nimeshapata soko katika hoteli kubwa za hapa […] The post Mkasa wa mfugaji wa kuku alivyookolewa baada ya kuku 500 kuibiwa appeared first on Jambo TV Online .
Go to News Site