Serikali yawabana wauzaji holela wa miwani za urembo
Wakati ongezeko la wauzaji wa miwani ya urembo na fremu likishika kasi mitandaoni, Wizara ya Afya imetoa tahadhari juu ya hali hiyo, huku ikitaka udhibiti zaidi kufanyika ili kunusuru afya za Watanzania.