Collector
Njombe Mardi wa Kokoto wafungua Fursa Mpya za Uchumi | Collector
Njombe Mardi wa Kokoto wafungua Fursa Mpya za Uchumi
bongo5.com

Njombe Mardi wa Kokoto wafungua Fursa Mpya za Uchumi

Mradi mkubwa wa uzalishaji wa kokoto uliopo mtaa wa Kambarage kata ya Njombe Mjini, unatarajiwa kuongeza upatikanaji wa kokoto na kuchochea shughuli za kiuchumi na kuongeza mapato ya Serikali katika Mkoa wa Njombe. Mradi huo unaomilikiwa na mchimbaji mdogo wa madini ya ujenzi, Isaya Boniface, umefungwa mtambo mkubwa wa kusaga kokoto wenye uwezo wa kuzalisha …

Go to News Site