bongo5.com
Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Dk. Prosper Mgaya amesema chuo hicho kimeweka utaratibu maalum wa kutenga fungu la fedha kwa ajili ya kuwawezesha wanataaluma wake kufanya tafiti zenye tija kwa jamii na sekta ya usafirishaji nchini. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo wakati wa Kongamano la wanataaluma wa chuo hicho lilioenda sambamba …
Go to News Site