bongo5.com
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuonesha dhamira kubwa katika maendeleo ya miundombinu kwa kusaini mikataba takribani 80 yenye thamani ya shilingi trilioni 6 ambayo ipo kwenye hatua mbalimbali za utekelezaji (pipe line). Ulega amesema hayo leo Alhamisi Mei 21, 2026 wakati …
Go to News Site