Kutoboa kitovu, ulimi urembo wenye majuto, tahadhari za kiafya | Collector
Mwananchi
Kutoboa kitovu, ulimi urembo wenye majuto, tahadhari za kiafya
Kutoboa kitovu au ulimi kwa ajili ya urembo ili kuvaa cheni au vito vingine kunazidi kupata umaarufu miongoni mwa vijana, hata hivyo nyuma ya mtindo huo kuna maswali ya kiafya kuhusu maambukizi na usalama.