Sababu Marekani kumwekea vikwazo Mafwele | Collector
Mwananchi
Sababu Marekani kumwekea vikwazo Mafwele
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, vikwazo hivyo vinamzuia Mafwele kuingia nchini Marekani na vinalenga kuhimiza uwajibikaji kwa wanaohusika na ukiukwaji wa haki za binadamu.