Collector
Mgahawa wa Kijapani unavyonogesha utalii Zanzibar | Collector
Mgahawa wa Kijapani unavyonogesha utalii Zanzibar
HabariLeo

Mgahawa wa Kijapani unavyonogesha utalii Zanzibar

Zanzibar. Sekta ya ukarimu na utalii visiwani Zanzibar imepata msukumo mkubwa wa mtindo wa maisha  baada ya uliojikita kuandaa na kuuza vyakula vya asili ya Kijapani wa Maru Restaurant kuanza kutoa huduma hiyo katika eneo jipya la Africa House Garden, Stone Town. Mgahawa huo unaleta vyakula halisi vya Kijapani katika soko la upishi na utalii … The post Mgahawa wa Kijapani unavyonogesha utalii Zanzibar first appeared on HabariLeo .

Go to News Site