Collector
Mahakama yaamuru aliyeshtakiwa kwa mauaji apelekwe taasisi ya afya ya akili | Collector
Mahakama yaamuru aliyeshtakiwa kwa mauaji apelekwe taasisi ya afya ya akili
Mwananchi

Mahakama yaamuru aliyeshtakiwa kwa mauaji apelekwe taasisi ya afya ya akili

Mahakama Kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam, imeamuru Mgisha Leonard aliyekuwa akikabiliwa na shtaka la kumuua Rehema Mwanansori (17), kupelekwa gerezani au taasisi ya watu wenye changamoto ya afya ya akili kama mkosaji mwenye matatizo ya akili, baada ya kubaini kuwa alikuwa na matatizo ya akili wakati wa kutenda tukio hilo.

Go to News Site