Collector
Kiswaga atoa mifuko 120 ya simenti ujenzi kituo cha afya Masaka | Collector
Kiswaga atoa mifuko 120 ya simenti ujenzi kituo cha afya Masaka
HabariLeo

Kiswaga atoa mifuko 120 ya simenti ujenzi kituo cha afya Masaka

IRINGA: Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Kiswaga ameendelea kuunga mkono maendeleo ya wananchi baada ya kukabidhi mifuko 120 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa Kituo cha Afya katika Kata ya Masaka jimboni humo. Hatua hiyo imekuja baada ya hivikaribuni kukabidhi msaada wa mifuko 200 ya simenti katika Shule ya Sekondari Tosamaganga kwa … The post Kiswaga atoa mifuko 120 ya simenti ujenzi kituo cha afya Masaka first appeared on HabariLeo .

Go to News Site