Collector
Kampuni yatangaza fursa za michezo kuelekea AFCON 2027 | Collector
Kampuni yatangaza fursa za michezo kuelekea AFCON 2027
HabariLeo

Kampuni yatangaza fursa za michezo kuelekea AFCON 2027

DAR ES SALAAM: WAKATI Tanzania ikijiandaa kuwa mwenyeji wa mashindano ya AFCON 2027, kampuni ya T9 imeibuka na mkakati wa kuhamasisha Watanzania kuzitumia fursa za kiuchumi zitakazoambatana na mashindano hayo kupitia uzinduzi wa jarida la T9 Magazine Opportunity Plus. Akizungumza katika uzinduzi huo Dar es Salaam leo Mkurugenzi Mtendaji wa T9, Othman Razak, amesema AFCON … The post Kampuni yatangaza fursa za michezo kuelekea AFCON 2027 first appeared on HabariLeo .

Go to News Site