Samia ateua watatu, yumo bosi mpya bodi ya PSSSF | Collector
Mwananchi
Samia ateua watatu, yumo bosi mpya bodi ya PSSSF
Rais Samia Suluhu Hassan, ameteua watatu kuongoza bodi mbalimbali, akiwemo Dk Irene Isaka kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF).