Collector
TAWLA yaweka mkazo uwezeshaji wa Wanawake kiuchumi kupitia elimu ya sheria na fedha | Collector
TAWLA yaweka mkazo uwezeshaji wa Wanawake kiuchumi kupitia elimu ya sheria na fedha
bongo5.com

TAWLA yaweka mkazo uwezeshaji wa Wanawake kiuchumi kupitia elimu ya sheria na fedha

Chama  cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) kimesema kitaendelea kuimarisha juhudi za kuwawezesha wanawake kiuchumi sambamba na kuwapatia elimu ya sheria ili kuhakikisha wanapata haki zao na kuzitumia kwa manufaa yao na jamii kwa ujumla. Akizungumza jijini Dar es Salaam wakati akifungua Mkutano Mkuu wa 36 wa Mwaka wa TAWLA, Mwenyekiti wa Bodi ya chama hicho, …

Go to News Site