HabariLeo
ZANZIBAR: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahmoud, ametoa mchango wa Sh milioni 21 kwa Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kusaidia utoaji wa zawadi na uendeshaji wa shughuli za michezo. Lengo ni kuondoa changamoto ya ukosefu wa zawadi iliyokuwa ikiathiri mashindano mbalimbali ya mpira … The post Ayoub atoa Sh milioni 21 kuimarisha michezo Unguja first appeared on HabariLeo .
Go to News Site