Collector
Serikali kuvipa nguvu viwanda vya kuchakata mazao ya nyuki | Collector
Serikali kuvipa nguvu viwanda vya kuchakata mazao ya nyuki
HabariLeo

Serikali kuvipa nguvu viwanda vya kuchakata mazao ya nyuki

TABORA: SERIKALI imesema itaendelea kuviwezesha viwanda vya kuchakata mazao ya nyuki ili kuleta tija kwa wananchi na kuongeza thamani ya mazao hayo kukidhi mahitaji makubwa kwa soko la ndani na la kimataifa. Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Ashatu Kijaji amesema hayo wakati akihiimisha kilele cha maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani na siku ya … The post Serikali kuvipa nguvu viwanda vya kuchakata mazao ya nyuki first appeared on HabariLeo .

Go to News Site