HabariLeo
TABORA: WANANCHI na wajasirimali wakiwemo wanawake kutoka katika vikundi vya ufugaji nyuki wilaya za Sikonge , Urambo na Kaliua mkoani Tabora wamejengewa mazingira bora ya ufugaji kwa kutumia teknolojia ya kisasa baada ya kujengwa vizimba (mabanda ) vya kuweka mizinga badala ya njia za asili ya utundikaji juu ya miti. Matumizi hayo yametikana na utekelezaji … The post Teknolojia ufugaji nyuki yaongeza ushiriki wa wanawake first appeared on HabariLeo .
Go to News Site