HabariLeo
DAR ES SALAAM:Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga amesema ujio wa magari ya Jetour utafungua ukurasa mpya wa fursa za kiuchumi, hasa kuzalisha nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania kwenye nyanja za mauzo, huduma za kiufundi, na teknolojia ya habari na mawasiliano. Kapinga amesema mbali na kukuza soko la bidhaa, ushirikiano huo ni … The post Kapinga: Jetour itachochea ajira, ukuaji uchumi first appeared on HabariLeo .
Go to News Site