HabariLeo
WAKATI Tanzania ikiendelea kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, wadau wa elimu wameonya kuwa mafanikio ya sekta hiyo hayatapatikana kwa juhudi za serikali pekee, bali kwa ushirikiano wa dhati kati ya serikali na sekta binafsi ambazo kwa miaka mingi zimekuwa zikibeba sehemu muhimu ya jukumu la kutoa elimu kwa Watanzania. Wito huo umetolewa katika … The post Shule binafsi zataka mazingira rafiki kuelekea 2028 first appeared on HabariLeo .
Go to News Site